Habari mkuu,
Baada ya gawio la TTCL kwa Serikali siku ya leo,kumekuwa na baadhi ya watu wanasema kwamba sio vyema kugawa gawio wakati huo huo TTCL wanaitaji pesa. Lakini upande mwingine,kumekuwa na watu wanasema kwamba Ugawaji wa gawio wa TTCL ni jambo lakujivunia maana linaonesha uwajibikaji.
Mimi nadhani sio kosa kutoa gawio kidogo,wametoa 2.1B ambayo ni 1.2%.Hii ni sehemu ndogo sana ya faida(100%) ambayo huwezi kusema kwamba inaweza kutela mabadiliko(effects) kwenye malengo ya kukusanya hiyo 1.7Trillion.Hii ni kwasababu 2.1B ni 0.1% ya 1.7Trillion, kama unavyoona ni kwamba hili gawio halina effect yeyote kwenye malengo.
Kawaida watu huwa wanapenda au kuvutiwa kuwekeza sehemu ambazo wanategeneza faida na kupunguza uwekezaji kwenye sehemu amabazo hazina faida.Kama ni hvyo,bila shaka mkurugenzi ameweza kucheza karata yake vyema, amemuonjesha mwekezaji(Serikali) asilimia ndogo ili kumpa moyo azidi kuwekeza. Wakati huo huo atakuwa anatetea ajira yake au hata kuwa na uwezekano wakupandishwa cheo.
Badala ya kuangalia kampuni ya Vodacom Tanzania,nimegunduwa mwaka 2017 na 2018 ilipata faida ya 48B na 170B. Wakati huo TTCL ilipata 119B na 167B. Kwa kuangalia hizi tarakimu,bila shaka TTCL inaonekana kanakwamba wanafanya vizuri kuliko Vodacom -Tanzania. Hapa tutakubaliana kwamba ni kitu kinacho leta mashaka. Kama tunavyo juwa TTCL haina coverage kubwa kama Voda com-Tanzania kwenye nyanja za Masoko(marketing campaign) na wateja.
Kama ni hivyo,TTCL kufanya vizuri kuliko Vodacom ni kitu kitacho leta Walakini. Kuna uwezekano wa mahesabu kupikwa,mfano wanaweza kutolipa au kusogeza mbele gharama fulani kubwa ili kuongeza faida. Sina uwakika sana juu ya hili paka tuwe na chapisho ya mahesabu(Financial statements) ambazo kwa sasa ZIMEFICHWA hazipo kabisa online.
**Kutokana na kukosekana kwa machapisho ya mahesabu(Financial statements) ya TTCL ni ngumu kuweza kupata picha halisi au ukweli wa hili swala.Kama ni hivyo, mawazo yangu hapo juu yanaweza kuwa sio ya kweli. Nakaribisha mawazo mengine.
Asanteni.