Tangu nimekufahamu leo ndio umeongea pointi. Kumbe ukiacha kuongea mashudu unakuwa mtu.!Acheni kudhalilisha wahitaji
Km huwezi kumsaidia mwache apite
Hahahahaha! Hii ni video. Niliwahi iona.Huenda alikuwa anamshangaa tu kisha anaingia zake ndani kufuata anachohitaji.
Hee!!! Kumbe.Hahahahaha! Hii ni video. Niliwahi iona.
Ila watu wana roho mbaya aisee! Walimwambia huyo bibi amuombe huo mdoli alafu wakawa wanamrekodi.
Dah!
Lugha tu hawaelewani labdaKwa akili ya kawaida tu, huyo bibi anamsemesha huyo kijana mzungu. Lakini kinacho mshangaza huyo bibi ni kwanini huyo kijana hamjibu..!!??
Tangu nimekufahamu leo ndio umeongea pointi. Kumbe ukiacha kuongea mashudu unakuwa mtu.!