Nini kinaendelea CHADEMA jimbo la Segerea

Nini kinaendelea CHADEMA jimbo la Segerea

kamele

Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
5
Reaction score
2
Nikiwa mwanachama mtiifu kwa chama changu nasikitishwa na hali inayoendelea kwenye uongozi waà chama changu jimbo la Segerea.

CHADEMA jumbo la Segerea kuna ugomvi mkubwa sana kati ya mwenyekiti kidela na Katibu Anatropia.

Na kama uongozi wa kanda hautalishughulikia mapema kuna hatari kubwa ya kupoteza tena hili jumbo.

Naomba kamanda wangu Mabere njoo Segerea uje uzime huu moto.
 
Ugomvi una sababishwa na nini? sio kila ugomvi ni mbaya.
 
Kama kweli wewe ni mtiifu wa chama kama nilvo mimi jifunze kuwa na siri, sio kila jambo ni vema kuja kuliweka hadharani, tafuta namba ya Marando au kamanda yeyote mwambie na sio kuja kuleta hapa hadharani sawa?

Wanachama wa kawaida tusaidie kutatua matatzo tusiyachochee, nikutakie kila la heri kusaidia chama uchaguzi ujayo.
 
Back
Top Bottom