Nini kinachoendelea Zanzibar?

lopinavir

Senior Member
Jul 11, 2015
185
118
Zikiwa zimesalia siku chache ili uchaguzi uliotangazwa na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) Jecha,kufanyika,ningependa kujuzwa nini kinaendelea huko Zanzibar?
-Kama kuna kampeni au maandalizi ya uchaguzi.....!!!
 
Mm nadhani wangeachana na habari za uchaguzi. Wamuapishe shein mambo mengine yaendelee. Maana hawatamtangaza mshindi mpaka shein ashinde. Sasa nn maana yake kama si uharibifu wa pesa
Au wapitishe sheria RAIS lazima awe CCM kuepusha usumbufu
 
zamani wakati nikiwa mdogo nilikuwa nawaza sana, ivi ni kwanini kuna baadhi ya marais hupinduliwa wakiwa madarakani angali waliwachagua wenyewe,
Siitaji jibu kwa sasa kwa vile nimeshakua na kuona maajabu ya dunia ya leo, labda nikuulize ivi kuna haja kumuapisha rais na kushirikisha bibilia au kuruani?
 
Zanzibar shwarii,kila mtu anaendelea na shughuli zake.Huko Bara tu ndio mambo ya siasa yametawala.
Watu huku wanapiga kazi na biashara kama kawaida.
Watu wanauelewa saana kwa sasa,sio Zanzibar ya miaka hiyo kila mzushi anakuja kuzua na watu wanafuata.Ila sasa kila mmoja anasubiria tu siku akapige kura then maisha yanaendelea.

Wenye njaa wataendelea kuwa na njaa yao na wenye ku win wataendelea ku win.Ndio Maisha

Kususia uchaguzi hakuna athari yoyote kama watu wanavyokuza na kujidanganya,wao sio wa mwanzo kususa na sio mara ya mwanzo.Waliwahi kususa na wakarudia tena,sasa hivi hata wasiporudi ni kwamba wameishazoeleka.
Vyama ni vingi mno,na vyote vinataka kuwa na mustakabali wa kichama hapo baadae.

Wastan wa wiki mbili za kumnyoa mtu zimefika,watu hawajui watokee wapi.
CUF inawachama wengi,ila CCM inawanachama wengi Zaidi,sasa hapo kamahukubali sikulazimishi
 
Ni kweli ni, kabisa kukubaliana

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Underground fyokofyoko muziki mupya wa kizazi kipya visiwani Unguja na Pemba.
 
Zanzibar shwarii,kila mtu anaendelea na shughuli zake.Huko Bara tu ndio mambo ya siasa yametawala.
Watu huku wanapiga kazi na biashara kama kawaida.
Watu wanauelewa saana kwa sasa,sio Zanzibar ya miaka hiyo kila mzushi anakuja kuzua na watu wanafuata.Ila sasa kila mmoja anasubiria tu siku akapige kura then maisha yanaendelea.

Wenye njaa wataendelea kuwa na njaa yao na wenye ku win wataendelea ku win.Ndio Maisha

Kususia uchaguzi hakuna athari yoyote kama watu wanavyokuza na kujidanganya,wao sio wa mwanzo kususa na sio mara ya mwanzo.Waliwahi kususa na wakarudia tena,sasa hivi hata wasiporudi ni kwamba wameishazoeleka.
Vyama ni vingi mno,na vyote vinataka kuwa na mustakabali wa kichama hapo baadae.

Wastan wa wiki mbili za kumnyoa mtu zimefika,watu hawajui watokee wapi.
CUF inawachama wengi,ila CCM inawanachama wengi Zaidi,sasa hapo kamahukubali sikulazimishi
Tunahitaji Amani na upendo vitawale maana ndiyo kila kitu kwa Tanzania yetu....
 
zamani wakati nikiwa mdogo nilikuwa nawaza sana, ivi ni kwanini kuna baadhi ya marais hupinduliwa wakiwa madarakani angali waliwachagua wenyewe,
Siitaji jibu kwa sasa kwa vile nimeshakua na kuona maajabu ya dunia ya leo, labda nikuulize ivi kuna haja kumuapisha rais na kushirikisha bibilia au kuruani?
JARIBU UONE KAMA NI RAHISI.MAWAZO DIED.MBOWE AND HIS COMPANY ENJOY THE DUMPNESS IN YOU TO THE MOMENT.
BRAINY
 
Back
Top Bottom