WAR
Member
- Dec 16, 2016
- 49
- 36
Kwa miaka ya karibuni nimekuwa nikiangalia na kusikiliza vipindi mbalimbali vya mahojiano katika televisheni na hata redio, tatizo lililopo waandishi wengi wa Tanzania ni waoga sijui niseme au hawana ubunifu katika kuuliza maswali nahata vipindi vyao vya uchunguzi ni bomu kabisa.
Wengi wameegemea katika positive side za mahojiano yao.Siajaona mwandishi akimuhoji waziri, mkuu wa mkoa au mtu yeyote mwenye infuluence katika jamii kwa masawali ya kumbana na hata kummuuzi kabisa.
Mahojiano mengi yanaegemea positive side huwa nahisi labda kuna chochote mnapewa.
Kidogo sana nampongeza Tido muhando na Masoud Kipanya kwa sasa hawa ndo waandishi bora na wenye upeo bila kumsahau Jerry Muro katika kipindi cha usiku wa habar(Kiliwekewa figisu)
Ombi langu waandishi wa habari Tanzania wa Tanzania muwe wabunifu kama kina Mohamed Ali wa Jicho Pevu au Larry King kiasi kwamba mtu akisikiliza mahojiano au kutazama asitamani kuondoka.