Kwa Siku za hivi karibuni kimekuwa na sintofahamu bungeni. Matusi' vijembe na kelele za zomea zomea ndio mwendo Wa binge. Je nini kimetufikisha hapa Kwa mtazamo wangu. 1. Maslahi ya vyama 2. Kutokua na nia ya dhati ya kupata katiba mpya Kwa upande Wa chama tawala 3. Chama tawala kutokubali mawazo ya wa ya wananchi kadiri yalivyo kwenye rasimu. 4. Baadhi ya wabunge Wa chama tawala kutojitambua na kuamua kuwa wanafiki hata pale palipo na ukweli kusema uongo. 4. Wapinzani kuwa na misimamo mikali 5. Kujadili vifungu viwili tu toka bunge limeanza na kuacha vingine vya muhimu. Je wewe unazani nini kimetufikisha hapa?