THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.Wakati wa kampeni za ubunge jimbo la Arumeru zilizompatia Joshua Nassari ushindi wananchi walishuhudia vituko vingi sana.Moja ya vituko vikubwa vilifanywa na mbunge wa Mtera mh.Livingstone Lusinde.Akiwa anamkejeli mh.Mbowe kwa kauli yake kwamba ana uchungu mkubwa na nchi hii Lusinde alisema mtu yoyote anayesema ana uchungu mjue ana mimbaakaendelea kusema mtawaona wengi tu ambao tumewatia mimba wakiwa wanatema mate hovyo.
Leo mh.Lusinde ametamka maneno yaleyale aliyosema yanatamkwa na mjamzito tu.Lusinde amesema ana uchungu sana na swala la UDA.Ni nani kampa ujauzito mbunge huyu machachari?
Msome tena mleta mada.Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.
Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Wakati wa kampeni za ubunge jimbo la Arumeru zilizompatia Joshua Nassari ushindi wananchi walishuhudia vituko vingi sana.Moja ya vituko vikubwa vilifanywa na mbunge wa Mtera mh.Livingstone Lusinde.Akiwa anamkejeli mh.Mbowe kwa kauli yake kwamba "ana uchungu mkubwa na nchi hii" Lusinde alisema "mtu yoyote anayesema ana uchungu mjue ana mimba"akaendelea kusema mtawaona wengi tu ambao tumewatia mimba wakiwa wanatema mate hovyo.
Leo mh.Lusinde ametamka maneno yaleyale aliyosema yanatamkwa na mjamzito tu.Lusinde amesema "ana uchungu sana na swala la UDA''.Ni nani kampa ujauzito mbunge huyu machachari?
Hujaelewa msingi wa hoja huyo lusinde alikuwa ameshamkosoa mbowe matumizi ya neno uchunguMmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.
Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Wakati wa kampeni za ubunge jimbo la Arumeru zilizompatia Joshua Nassari ushindi wananchi walishuhudia vituko vingi sana.Moja ya vituko vikubwa vilifanywa na mbunge wa Mtera mh.Livingstone Lusinde.Akiwa anamkejeli mh.Mbowe kwa kauli yake kwamba "ana uchungu mkubwa na nchi hii" Lusinde alisema "mtu yoyote anayesema ana uchungu mjue ana mimba"akaendelea kusema mtawaona wengi tu ambao tumewatia mimba wakiwa wanatema mate hovyo.
Leo mh.Lusinde ametamka maneno yaleyale aliyosema yanatamkwa na mjamzito tu.Lusinde amesema "ana uchungu sana na swala la UDA''.Ni nani kampa ujauzito mbunge huyu machachari?
Lusinde kuwa na uchungu ni kuhisi kuumia kwa ufisadi inaofanyiwa nchi hii, ila mh Mbowe akiona uchungu lusinde anaonakama mh mbowe anataka jifungua,lusinde anamatatizo hata kumjadili tunampa kitu asichostahili.Mmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.
Nilivyoelewa mimi ni kuwa Lusinde kusema ana uchungu na UDA, alikuwa na maana ya kuhisi kuumia moyoni kuona jinsi shirika hilo la Umma la usafirishaji abiria jijini Dar, jinsi llivyofanyiwa ufisadi wa kutisha kwa kuuzwa kwa bei ya 'chee' na siyo kuwa mbunge Lusinde kwa kusema kuwa anajisikia uchungu alikuwa anamaanisha kuwa anataka kujifungua!!
Mkuu hujaelewa. Hebu rudi kwenye threadMmh... ngoja tuwasubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje watudavudie lugha.