Nadhani kuna mawasiliano mabovu kati ya ofisi za bunge na hawa wabunge wateule, na hii kwa sababu bunge limekuwa linaendeshwa kwa style ya zima moto. Hadi tarehe 7 april wakati wanatoa statement ya kikao hiki ofice hii ya bunge hawakuwa na uhakika na hoja binafsi (kama zimatimisha masharti).