Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,766
- 14,784
Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda zake Juventus na kukiwasha. Baada ya misimu kadhaa akarudi zake Man Utd kwa usajili wa rekodi ya dunia.
Baada ya misimu sita Pogba akarudi zake Juve huku akiwatuhumu Man Utd kwa kutomthamini.
Lakini tangu ameenda Juve kwa mara ya pili ni kama majeraha yamemuandama na amecheza mechi chache sana.
Pogba sasa ana miaka 30, haimbwi tena, Juve wanafikiria kuvunja mkataba naye, yaani mambo hovyo kabisa. Kuna kipindi alihusishwa na tuhuma za uchawi lakini skendo ikapotea.
Ni wapi alipokosea Pogba? Mchezaji ambaye alitabiriwa makubwa ikiwemo kuchukua ballon d’or
Pogba ni Balotel aliyezubaa, mulemule. Kiburi/jeuriPaul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda zake Juventus na kukiwasha. Baada ya misimu kadhaa akarudi zake Man Utd kwa usajili wa rekodi ya dunia.
Baada ya misimu sita Pogba akarudi zake Juve huku akiwatuhumu Man Utd kwa kutomthamini.
Lakini tangu ameenda Juve kwa mara ya pili ni kama majeraha yamemuandama na amecheza mechi chache sana.
Pogba sasa ana miaka 30, haimbwi tena, Juve wanafikiria kuvunja mkataba naye, yaani mambo hovyo kabisa. Kuna kipindi alihusishwa na tuhuma za uchawi lakini skendo ikapotea.
Ni wapi alipokosea Pogba? Mchezaji ambaye alitabiriwa makubwa ikiwemo kuchukua ballon d’or
Pogba kazaliwa ulaya lakini, rekodi zote zipo🤣Umri wa passport vs umri wa wazazi vinakinzana
Itapita miaka namiaka kupata kizaz chao ambapo mtu anza kuweka rekod zadunia tangu kinda tena wakishinda balloon Dior nabado wanakiwasha hadi kwenye 35+
Hapa ndipo ninapowaheshimu Ronaldo na Messi, unahitaji kuwa na heshima ya hali ya juu ili kuendelea kubaki katika viwango vya juu.
Victoire nini kimemkuta Pogba ? Au zile ndumba zime-expire...?Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.