Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,444
- 10,272
Unamaanisha Pogba mlevi au? Umeongea too general.Ukiwa na pesa halafu ukawa hujatuliza akili unapotea mazima, hata chanzo au mradi uliokupa hiyo pesa unaipoteza.
Tarehe moja unaenda kwenye kampuni fulani kuomba kazi unapewa, Kisha unakuwa na kazi yako huku ukisifiwa kwa uchapakazi mahiri, mwisho wa mwezi unapokea mshahara Kisha unaanza ulevi, na starehe Kisha taratibu ule ufanisi kazini kwako unapotea.
Waajiri wako hawakuamini tena, Kisha wanawaza kukuachisha kazi kutokana na uwezo wako kushuka , yaani pesa inaenda kuharibu kazi yako.
MajipuMadogo wengi wanaotembea na majipu kwapani hawachukui muda.
Ajabu kubwaPaul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Man United sio timu wachezaji wanafuata pesa tu na dreams walizo kuwa nazo kipindi cha man u ya beckam,rooney na wengine wachezaji wengi wamekuja man u. wamepotea sana, sancho namuonea huruma hata rate ya fifa kashuka,pogba,angel,maguire, cr7 kuja man u tena was his big mistake,depay huyu bruno huyu wenda angekuea team kama madrid,city,barca,psg,munich,dort tungeona mengiPaul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.
Akatoka Man Utd baada ya kukosa nafasi akaenda zake Juventus na kukiwasha. Baada ya misimu kadhaa akarudi zake Man Utd kwa usajili wa rekodi ya dunia.
Baada ya misimu sita Pogba akarudi zake Juve huku akiwatuhumu Man Utd kwa kutomthamini.
Lakini tangu ameenda Juve kwa mara ya pili ni kama majeraha yamemuandama na amecheza mechi chache sana.
Pogba sasa ana miaka 30, haimbwi tena, Juve wanafikiria kuvunja mkataba naye, yaani mambo hovyo kabisa. Kuna kipindi alihusishwa na tuhuma za uchawi lakini skendo ikapotea.
Ni wapi alipokosea Pogba? Mchezaji ambaye alitabiriwa makubwa ikiwemo kuchukua ballon d’or
Pogba sidhani kama alifika kilele cha ubora wake sidhanibaada ya kufika kileleni... kifuatacho ni kushuka tu...
Akiwemo nguli Sir AlexHuyu mwamba alitoa kauli mbovu alipotoka pale man utd. Naona kwenye mitandao kuanguka kwake kwa wengi ni sherehe. Usitukane mamba kabla hujavuka mto.
Ndumba si kingine...sisi waafrika usipowapa ndugu hela hata ndugu wa damu wanakuroga tu mkose wote,imagine braza wake mwenyewe wa damu alimteka!Paul Pogba ni mmoja ya wachezaji waliotarajiwa makubwa wakati akiwa anakua. Alitajwa kuwa na kipaji kikubwa na uwezo mkubwa wa kucheza kama kiungo.