Nini kimemkuta dada huyu

RRONDO anasema sio haki kupiga mwanamke inaonekana hajawahi kumbana na kadhia za hao viumbe.

Wanaume huwa tunavumilia mengi Sana Sana kutoka kwa hawa viumbe la sivyo unaeza piga uue
Binafsi pia siungi mkono upigaji mkuu, ukiona unazinguliwa ujue tu ameshakusoma , na kuna pahala umelegeza 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…