Inasikitisha sana. At least wangeamulia. Wamshike yule dada na jamaa wamuweke mvali. Nafikiri ni Kenya hapo hdo wenzetu kidogo ustaarabu ni msamiati mpya.

Dah mwanetu nguo nyekundu amepigwa vibao viwili chap akili ikamrudi ikabidi akaendelee na mbishe zake chap hana muda wa kupoteza kwenye ugomvi wa wenyewe