Nini Kimekukera Leo?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,023
Tema nyongo hapa hasira zipoe, moyo utuliee.

Mimi nimemtumia nauli mchepuko wangu mpya. Yani ndo tulipanga leo tuvunje amri ya sita kwa mara ya kwanza, lkn nashangaa baada ya kutuma hiyo pesa, kaniambia kapata udhuru anaenda Muhimbili eti dada yake anataka kuongezewa damu

Hapa nimefura kweli, nimewapigia tigopesa. wakasema ela ishatolewaa.

Nimeona ni share na nyie kidogo nitatulia
 
Leo asubuhi nimeokota hela ambazo sijazitolea hata jasho
 
Dah hakuna zaidi ya hii pole sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…