Nini kimeikumba Smirnoff Black Ice?

Hivi vinywaji alcoholic vitamu vitamu ni rahisi sana mtu ku-overdose na ni njia inayopelekea wasiokunywa waanze kunywa..., nakumbuka kipindi fulani huko ughaibuni vilizidi sana hadi wadau wakaanza ku-question impact yake kwa young generation.., ukitaka tengeneza pombe tengeneza pombe hii pombe ya juice mtu anunue cocktail ambayo ni gharama juu kidogo..., tena since inaagizwa basi ipigwe kodi ya kutosha atleast adha ya vijana wakilewa na kutapika mitaani tupate pesa ya kuwatibu na kuwapa figo zetu siku wakizidiwa....
 
Wabongo bana mnakuwa weledi na bidii wa vitu vidogovidogo na vya kijingajinga. Tungekuwa na bidii kama hii ya kutaka kuishi maisha mazuri na uchumi kwa kila mbongoFanyeni kazi aiseee
Kazi hufanywa haizungumzwi wewe njoo huku uzungumze kuhusu kufanya kazi ilihali wenzako wanafanya kazi na huku wanakuja muda wa mazungumzo.
Na wanaofanya kazi hawahimizi watu kufanya kazi isipokuwa kama kazi yake ni kuhimiza watu wafanye kazi.
Tulia acha kujifanya upo sahihi kwa kila kitu.
Tulia wewee mgerasi acha porojo jamvini fanya kazi na ujikite kwenye mada
Nakubaliana na hilo jina, hongera kwa kazi uifanyayo, pole kwa porojo hizi uzifanyazo, Unahitaji usaidizi wa kutambua ukiandikacho maana mada haikuwa kufanya kazi ndipo na mimi nikakushauri hivi
Don't compare your life with others, Do what you thought you can, the remains others will do. Period.
 
Hivi vinywaji alcoholic vitamu vitamu ni rahisi sana mtu ku-overdose na ni njia inayopelekea wasiokunywa waanze kunywa..., nakumbuka kipindi fulani huko ughaibuni vilizidi sana hadi wadau wakaanza ku-question impact yake kwa young generation.., ukitaka tengeneza pombe tengeneza pombe hii pombe ya juice mtu anunue cocktail ambayo ni gharama juu kidogo..., tena since inaagizwa basi ipigwe kodi ya kutosha atleast adha ya vijana wakilewa na kutapika mitaani tupate pesa ya kuwatibu na kuwapa figo zetu siku wakizidiwa....
Kama mtu hana self control, hata spirit ata overdose tu. Ladha ya kinywaji sio sababu.
 
Kama mtu hana self control, hata spirit ata overdose tu. Ladha ya kinywaji sio sababu.
target ya hivi vinywaji alcopops ilikuwa ni teenagers ili kuwavutia na kuongeza mauzo.., na sababu ni kama soda mtu anabugia tu na kwa haraka..

target ya hivi vinywaji alcopops ilikuwa ni teenagers ili kuwavutia na kuongeza mauzo.., na sababu ni kama soda mtu anabugia tu na kwa haraka..

And they target teeanagers kwasababu they lack self control. Ishu hapa ni self restraint sio utanu wa pombe.
 
Back
Top Bottom