Hata airtel ni hivyo hivyo toka juzi usiku ilianza internet hakuna, ikaja sasa hata sms haziendi muda mwingi mtandao unakata kabisa inakuwa emergence call tu na hata ukirudi huwezi fanya lolote. Hapa wakisharekebisha haijalisha ulikuwa umejiunga kifurushi cha bei gani utaona wote mnapewa dakika mbili eti za bure. Hii mitandao sijui TCRA uwa wanafanya nini