Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,242
- 1,472
- Thread starter
-
- #21
Mimi sijaona viti vikibadilishwa zaidi ya 'ziara za kushtukiza' zinazofanywa na Magufuli na mawaziri wake huko Dar utadhani serikali hii ni ya Dar peke yake.Huku mikoani hakuna kilichobadilika ufisadi uko palepale na maisha yanazidi kuwa magumu kuliko hata kabla ya uchaguzi.
1. Katiba ya wananchi CCM imefanya nini?
2. Wizi wa ESCROW nini kimefanyika?
3. Vurugu zote za uchaguzi wa mameya maeneo ambayo CCM wameshindwa, nani anakemea uhuni unaofanyika? rejea Kinondoni, Ilala, Morogoro na kwingineko
4. Uchaguzi wa Zanzibar umefikia wapi? wananchi ambao ndo wenye nchi wamepewa mrejesho wowote?
Acha kuishi kitumwa na kujitoa ufahamu. Elimu huletwa na tafakuri na kudadisi, la sivyo huwezi jua nini kiko vipi na kwa nini?
Umekosa cha kuandika siyo???Hiv ww unaona nn kimebadirika ktk hii serikar ya makufuli.....hizo ziara anazoziita za kushitukiza wakati waandishi wa habari wanakuwa na taarifa nazo....?hakuna pilote like bado maisha ni magumu kupit? maelezo......afu we siyo mwana Chadema tuachie chama chetu site usituingilie!!!!!
Ovu lipi ambalo kama CHADEMA, limetetea?
Tulizoea zamani Chadema ndio chama kinachofichua maovu na kupambana nayo na CCM ndio kulikuwa chama cha kutetea maovu na kufanya madudu yote yasiyofaa.
Ila leo sielewi kimetokea nini Chadema imekuwa ndio chama cha kutetea maovu na kupinga lolote zuri litalofanywa ili kuleta nidhamu kwenye nchi. Alafu ccm ndio kimekuwa chama cha kushughulikia maovu na kuyakemea kwa nguvu zote.
Sikuwai ata siku moja kuwaza itafika siku Chadema watapambana kuwatetea waovu na watu waliofanikisha ufisadi, rushwa, wizi, uvunjaji taratibu nk.
Mimi wakati tunapigania mabadiliko niliamini tunataka mabadiliko kweli. Sasa vitu vinabadilishwa tutapinga ni kama hatutaki vitu vibadilike na sielewi tunaitaji nini!
Jamani ebu mnisaidie kuelewa tatizo nini wana Chadema wenzangu?
Ngoja waje wanywa viroba upate majibu yako
Kuwa ccm hivi ni lazma uache likizo akili zako?
Usiwe na wasiwasi kuhusu CDM. Chama chochote kinachopoteza uchaguzi huwa kinachukua muda fulani kabla hakijarudi kwenye agenda yake kamili. This is true everywhere in the world, hata kwa wenzetu ambao demokrasia yao imekomaa kuliko yetu. CCM lazima ianze kwa nguvu ili kuonyesha wananchi kuwa ilikuwa chaguo zuri. Tatizo ni kuwa kuna watu kwenye chama ambao hawaelewi siasa wanaona umuhimu wa kupinga kila kitu hata vile vizuri lakini hao nao watatulia baada ya muda na CDM ita settle na kuendelea na agenda yake ya kuwatetea wananchi.Tulizoea zamani Chadema ndio chama kinachofichua maovu na kupambana nayo na CCM ndio kulikuwa chama cha kutetea maovu na kufanya madudu yote yasiyofaa.
Ila leo sielewi kimetokea nini Chadema imekuwa ndio chama cha kutetea maovu na kupinga lolote zuri litalofanywa ili kuleta nidhamu kwenye nchi. Alafu ccm ndio kimekuwa chama cha kushughulikia maovu na kuyakemea kwa nguvu zote.
Sikuwai ata siku moja kuwaza itafika siku Chadema watapambana kuwatetea waovu na watu waliofanikisha ufisadi, rushwa, wizi, uvunjaji taratibu nk.
Mimi wakati tunapigania mabadiliko niliamini tunataka mabadiliko kweli. Sasa vitu vinabadilishwa tutapinga ni kama hatutaki vitu vibadilike na sielewi tunaitaji nini!
Jamani ebu mnisaidie kuelewa tatizo nini wana Chadema wenzangu?
Usiwe na wasiwasi kuhusu CDM. Chama chochote kinachopoteza uchaguzi huwa kinachukua muda fulani kabla hakijarudi kwenye agenda yake kamili. This is true everywhere in the world, hata kwa wenzetu ambao demokrasia yao imekomaa kuliko yetu. CCM lazima ianze kwa nguvu ili kuonyesha wananchi kuwa ilikuwa chaguo zuri. Tatizo ni kuwa kuna watu kwenye chama ambao hawaelewi siasa wanaona umuhimu wa kupinga kila kitu hata vile vizuri lakini hao nao watatulia baada ya muda na CDM ita settle na kuendelea na agenda yake ya kuwatetea wananchi.
Mimi sijaona viti vikibadilishwa zaidi ya 'ziara za kushtukiza' zinazofanywa na Magufuli na mawaziri wake huko Dar utadhani serikali hii ni ya Dar peke yake.Huku mikoani hakuna kilichobadilika ufisadi uko palepale na maisha yanazidi kuwa magumu kuliko hata kabla ya uchaguzi.
kuna kitu hukielewi vizuri