We mjamaa ndio umeamua kumchojoa zote kabisaKusema kuwa binadamu hatuna hata miaka 7000 juu ya dunia sio kweli, kwani kuna ushahidi wa wazi wazi kuwa binadamu tupo zaidi ya muda huo
1. Modern human (binadamu wa kileo kama wewe) alianza kutunza kumbukumbu miaka zaidi ya elfu kumi iliyopita, kuna michoro mapangoni na kwenye mawe sehemu mbali mbali duniani zenye umri wa zaidi ya miaka elfu 10
2. Kule Misri (Egpty), kuna makaburi na mabaki ya vitu mbali mbali alivyowahi kutumia binadamu vyenye umri wa zaidi ya miaka elfu 10
3.Ushahidi unaonyesha kuwa binadamu (modern human), sio apes au homos...., alianza kufuga na kulima zaidi ya miaka 13,000 iliyopita kule Palestina, Iran, na china
Hata ya mafuvu yaliyokutwa kule oldivai au kule Chad yana miaka zaidi ya laki 7.....
Huyu atakua mnywaji wa kahawa huyu, na stori zao za UKI BIN UNUKI za kuvua samaki katikati ya bahari na kunyisha mkoni juu kumkausha kwa joto la jua kisha kumla haaUongo ni Mkubwa hapa:
-Miaka elfu 7 ni michache sana, Binadamu aliexist miaka mingi sana zaidi ya hiyo.
- Dragons hawajawahi kuwepo, hakuna mnyama aliyeumbwa kwa nyama + mifupa + damu aweze kutema moto.
SWALI: Anagenerate vipi moto ndani ya mwili? Si angeunguza hata moyo wake mwenyewe na utumbo kwakuwa ni vilaini?
-Katika historia na uchunguzi wa dunia nzima hakuna Kimondo kikubwa namna hiyo kilichowahi kuanguka na kusababisha moto kiasi hicho.
SWALI : Iunguze vitu vyote mpaka vilivyopo umbali wa 800KM ? Umbali wa zaidi ya Arusha - DSM halafu isiwepo katika kumbukumbu za dunia?
Kimondo maarufu duniani ni ile iliyoanguka zamani Arizona na Malampaka-Mbeya (1930)
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua sodoma na gomora hazipo Africa ? zipo bara jingine, hivo ni sahihi kama yesu alitumia siku 40 maana ni mbali mno, bahati mbaya sina mb ningeleta video uone sehemu inayoaminika kuwa sodoma na gomora ipo wapiHizi habari ni kama za bustani ya edeni Adam na Hawa na tunda la mti wa katikati, Yesu, Nuhu, Mussa na wana wa Islaeri kusafiri kwa miaka 40 kutoka hapo Misri tu kwenda kwao, Sodoma na Gomora.
Hiyo miaka iliyopimwa ni kwa mujibu wa hicho kifaa cha Carbon 14, hatuwezi kukiamini kwa asilimia 100% ila in reality ukicalculate muda wa mwanadamu kwanzia pale Edeni tumezidi miaka 6000 na hatujafika 7000 idadi kamili inachanganya kidogo kutokana na kubadilishwa kwa calender mara kadhaaKusema kuwa binadamu hatuna hata miaka 7000 juu ya dunia sio kweli, kwani kuna ushahidi wa wazi wazi kuwa binadamu tupo zaidi ya muda huo
1. Modern human (binadamu wa kileo kama wewe) alianza kutunza kumbukumbu miaka zaidi ya elfu kumi iliyopita, kuna michoro mapangoni na kwenye mawe sehemu mbali mbali duniani zenye umri wa zaidi ya miaka elfu 10
2. Kule Misri (Egpty), kuna makaburi na mabaki ya vitu mbali mbali alivyowahi kutumia binadamu vyenye umri wa zaidi ya miaka elfu 10
3.Ushahidi unaonyesha kuwa binadamu (modern human), sio apes au homos...., alianza kufuga na kulima zaidi ya miaka 13,000 iliyopita kule Palestina, Iran, na china
Hata ya mafuvu yaliyokutwa kule oldivai au kule Chad yana miaka zaidi ya laki 7.....
Uongo ni Mkubwa hapa:
-Miaka elfu 7 ni michache sana, Binadamu aliexist miaka mingi sana zaidi ya hiyo.
- Dragons hawajawahi kuwepo, hakuna mnyama aliyeumbwa kwa nyama + mifupa + damu aweze kutema moto.
SWALI: Anagenerate vipi moto ndani ya mwili? Si angeunguza hata moyo wake mwenyewe na utumbo kwakuwa ni vilaini?
-Katika historia na uchunguzi wa dunia nzima hakuna Kimondo kikubwa namna hiyo kilichowahi kuanguka na kusababisha moto kiasi hicho.
SWALI : Iunguze vitu vyote mpaka vilivyopo umbali wa 800KM ? Umbali wa zaidi ya Arusha - DSM halafu isiwepo katika kumbukumbu za dunia?
Kimondo maarufu duniani ni ile iliyoanguka zamani Arizona na Malampaka-Mbeya (1930)
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mabaki ya dinosaurs yako wapi sasa hivi?

Mkuu siyo Yesu ila mi waislaeri ndio walitumia miaka 40 kutoka Misri hadi kwao Isilaeriunajua sodoma na gomora hazipo Africa ? zipo bara jingine, hivo ni sahihi kama yesu alitumia siku 40 maana ni mbali mno, bahati mbaya sina mb ningeleta video uone sehemu inayoaminika kuwa sodoma na gomora ipo wapi
Hiyo record ni questionable kwani kutemebea kutoka Cairo had Jerusalem ni mwendo wa mwezi mmoja tu. Ila kwa vile wao walikuwa wakitanganga labda walichukua miezi sita au hata mwaka mzima. Wasingeweza kutembea kila siku kwa miaka arobaini, wangezeeka na kuishiwa nguvu kabisa.Mkuu siyo Yesu ila mi waislaeri ndio walitumia miaka 40 kutoka Misri hadi kwao Isilaeri