Nini kilisababisha ukajiunga Jamii Forums

Rafiki yangu aliniambia kuna madini sana humu
 
Humu akili nyingi alafu Uhuru wa kutoa mawazo.
Kuna majukwaa humu hata ukiwa mpweke unajiona mpo kumi!!!
Kuhusu usalama aaaaa liwalo na liwe mbona wakiamua kukufuatilia wanakufanya wanachotaka ila mimi napenda freedom of speech!!!
🤗🤗🤗🤗🤗
 
Kuna thread kama hii tulishatoa majibu yetu.
 
Kila taarifa nliokuwa Natafuta google ilikuwa inanipeleka Jamii forum
ikabidi nidawload app kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…