Nini kilisababisha hii???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kilisababisha hii????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Oct 1, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa saa nyingine nakaa peke yangu najirudisha nyuma kima wazo nawazua nalinganisha na baki nikiumiza kichwa kwanza niliwahi kujiuliza nini kimebadrika katika maisha wakati ule na wasasa wakati mimi niyuleyule??
  Najiuliza nini kilikuwa kina sababisha watu wazungukezunguke wakipita huko nakule navibarua mara posta kwa kumsaka demu unaye kaanaye mtaa mmoja hasa nini kilisababisha?? ukitongoza demu lazima upitie njia ya mbali wakati yamkato ilikuwepo badala yakumwambianakupenda kama sasahivi tuonavyo fanya justone hour unaye guest??
  Je ulikuwa ushamba umetutawala??
  Au ulikuwa uwoga umetutawala??
  Au ulikuwa utamaduni umetutawala??
  Au niujinga wetu na wanawake walikuwa wanatucheka??

  MCHANGO WENU TAFADHALI:croc:
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Utandawazi
   
Loading...