eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Mashuhuda walidai muhusika alitoka bar mda si mrefu ndo akapata ajali unataka uchunguzi gani tena marehemu hasemwi.Hivi upelelezi wa ile ajali hadi sasa wametoa neno ya kuwa ili sababishwa na nini?
Maana labda kuna kitu tunaweza kujitunza ili tuwe makini tunapo kuwa barabarani.
"Ugali unapikiwa nini?"Ugali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
Alitoka kuuza niniUgali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
ina maana ndani ya mwezi huu mtukufu watu wanavesha tungi??Mashuhuda walidai muhusika alitoka bar mda si mrefu ndo akapata ajali unataka uchunguzi gani tena marehemu hasemwi.
Ile ajali ilikuwa usiku na yule binti alibadili dini kamfuata mume wake kwa hyo swala la swaumu halipo.ina maana ndani ya mwezi huu mtukufu watu wanavesha tungi??
Mwendo kasi ulevi na kutozingatia sheria za barabarani ndio huwa jumuisho la ajali nyingiHivi upelelezi wa ile ajali hadi sasa wametoa neno ya kuwa ili sababishwa na nini?
Maana labda kuna kitu tunaweza kujitunza ili tuwe makini tunapo kuwa barabarani.
Anaetakiwa kuitolea maamuzi hata hajui kama walishakamilisha uchunguzi.yeye kutwa kuzurura tuNa vp kuhusu ile report ya wale askari wa mtwara?
Mashuhuda walidai muhusika alitoka bar mda si mrefu ndo akapata ajali unataka uchunguzi gani tena marehemu hasemwi.
Ugali unapikiwa nini? Alitoka kuuza na alikuwa bwax, kipindi hiki wauzaji wamerudi tena na bonge za tambo, waguse kinuke
Mm huwa situmii kilevi, ila nilibiringika mara tatu ndani ya gari baada ya tairi la mbele ku-bust. Nilikuwa mwendo wa kawaida sana. Ni Mungu tu alitaka niendelee kuwepo duniani, kila aliyeshuhudia tukio hilo alimtaja Mungu.Don't drink and drive....