Hahahahahaaa haya siku hizi hupendi kufanya kazi gani na unai substitute na nini?
Vyombo vilikufanya nini wewe mpaka unavichukia hivyo? Wakati unaanza maisha nani alikuwa anakuoshea?
Dingi ndio alikuwa ananifanya niende shule,nisipoenda ni balaa!
Hahahaha kwahiyo wakati wa likizo ulikuwa unafanya sherehe eeh?Mi kwa kweli zilikuwa ni fimbo za babu Kaiwanga huyu mwalimu babu alikuwa anachapa na makonzi kwa sana yani hata nikiwa na usingizi kiasi gani nikimuwaza tu huyoo mwenyewe naenda shule
Kama nakuona vile unaosha vyombo huku unalia mpaka leo.....usinikumbushe
mdingi alikuwa mkolono kama nini
siku akijisikia anakushtukiza na chemsha bongo
zile table za nyuma ya daftari nilizishika mapema mno sababu yake
dah! Ila ilinifanya nkapenda hethabu
Visichana virembo,we acha tuuu.Hasa kakiwa kageni shuleni ni balaa.
Hahahaha kwahiyo wakati wa likizo ulikuwa unafanya sherehe eeh?
Hahahaha kwahiyo wakati wa likizo ulikuwa unafanya sherehe eeh?