LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 May 25, 2013 #21 Mama Mdogo said: Hakuna kudhalilika hapa, raha jipe mwenyewe, na wengine wanakuongezea tu!! Sasa hapo kwenye jacuzzi hao akina mama mbona wanajipa raha wenyewe. Wewe ulisha oga kwenye jacuzzi na kuona raha zake??? Click to expand... Wakiiga je na kufanya haya mambo pale kwenye Jakuzi yetu ya manzese si litakua janga la Kitaifa?
Mama Mdogo said: Hakuna kudhalilika hapa, raha jipe mwenyewe, na wengine wanakuongezea tu!! Sasa hapo kwenye jacuzzi hao akina mama mbona wanajipa raha wenyewe. Wewe ulisha oga kwenye jacuzzi na kuona raha zake??? Click to expand... Wakiiga je na kufanya haya mambo pale kwenye Jakuzi yetu ya manzese si litakua janga la Kitaifa?
mnyanyembehalisi Member Joined Dec 12, 2012 Posts 40 Reaction score 2 May 25, 2013 #22 Nahisi ni shindano la Miss BANTU
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,718 Reaction score 13,435 May 25, 2013 #23 englibertm said: Click to expand... Haya ni majanga.