maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
Katika hali kama hii tuliyonayo ya vyama kuzingua kutupa kapuni agenda za kitaifa kutulazimisha mambo yao ya vyama mgombea binafsi ni suluhisho pekee.
Yaani hivi vyama vinakera sana chukulia agenda ya katiba mpya imekula hela nyingi zq walipa kodi leo imetupwa tunalazimishwa mambo yao ya chama ili waendelee kutawala.
Mijitu ipo kwa ajili ya matumbo tu sio kusonga na mambo ya kuisaidia nchi hawa majamaa wa kijani wameikwamisha nchi nchi kwa kiwango kikubwa sana
Vyama vya wafanyakazi wameweka usalama wa taifa hakuna kuihoji serikali, mitaani wakikusikia unaisema serikali tukufu unafichwa lupango isiyojulikana
Vyombo vya habari vimetishwa mpaka wamebaki kimya wanaangalia tu hakuna kuikosoa watawala wanafanya wanavyotaka.
Upinzani umekabwa koo hakuna kufanya shughuli za siasa ukijaribu tu polisi wanakukamata na kukutia ndani
Bunge limefungwa isionekane kwa watu. Chombo hiki ni cha wanainchi lakini hawaoni live bunge lao alafu bado watu wanaona ni sawa tu hawa jamaa hatua waliyofikia ni mbaya sana hawajali chochote zaidi ya kuwaza kubaki madarakani
Wameifilisi nchi ufisadi kila kona hakuna hatua ya maana inayochukuliwa
Je nini kifanyike mbona mbona tunapoa kwenye ramani