sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,922
Anawezaje kuendesha familia kama hana kipato au wewe ndiyo unamsaidia?Akiwa kama baba wa familia
Anasaidiwa.Anawezaje kuendesha familia kama hana kipato au wewe ndiyo unamsaidia?
Kuandika kuhusu unju means unamtakia mema ,ingependeza ungempa wazo "mpakwa mafuta wa diddy" amsaini hapo wachafu records.Anasaidiwa.
Wewe unafanya shughuli Gani tuanzie apo kwanza?Kijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri.
Amejaa jazba, malalamiko, shari, migogoro, umbeya na upotevu wa nuru.
Watu wanasema ni sababu ya shughuli zake za kurap hazijawai kumletea manufaa ya kuweza kujikimu kimaisha hivyo amejaa msongo wa mawazo na kujikatia tamaa.
Wengine wanasema sababu ni matumizi makubwa ya vilevi vya kupima hivyo vinasababisha anapoteza uwezo wa kutafakari na kutafuta pesa inayopelekea kuwa mtu wa hovyo.
Una nini cha kumshauri kijana huyu wa kikurya anaeigiza umarekani?
Mimi namshauri atafute shughuli nyingine ya kufanya hiki anachofanya sasa atakufa maskini.
Akiwa kama baba wa familia anatakiwa sasa ajitambue aache wivu na majungu hazijawai msaidia ila apambane. Watu walimpa nafasi wakaishi kupata hasara sasa asilazimishe kupewa nafasi hakuna mtu anaweka pesa yake ili afurahishe masela.
Hakuna anaemkwamisha kwenye hii safari yake bali ni yeye mwenyewe hivyo asitafute mchawi kila siku.
Mwenye ushauri mwingine tumsaidie
Oi mwanangu njoo uangalie TV geto kwanguKijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri.
Amejaa jazba, malalamiko, shari, migogoro, umbeya na upotevu wa nuru.
Watu wanasema ni sababu ya shughuli zake za kurap hazijawai kumletea manufaa ya kuweza kujikimu kimaisha hivyo amejaa msongo wa mawazo na kujikatia tamaa.
Wengine wanasema sababu ni matumizi makubwa ya vilevi vya kupima hivyo vinasababisha anapoteza uwezo wa kutafakari na kutafuta pesa inayopelekea kuwa mtu wa hovyo.
Una nini cha kumshauri kijana huyu wa kikurya anaeigiza umarekani?
Mimi namshauri atafute shughuli nyingine ya kufanya hiki anachofanya sasa atakufa maskini.
Akiwa kama baba wa familia anatakiwa sasa ajitambue aache wivu na majungu hazijawai msaidia ila apambane. Watu walimpa nafasi wakaishi kupata hasara sasa asilazimishe kupewa nafasi hakuna mtu anaweka pesa yake ili afurahishe masela.
Hakuna anaemkwamisha kwenye hii safari yake bali ni yeye mwenyewe hivyo asitafute mchawi kila siku.
Mwenye ushauri mwingine tumsaidie
Chawa wa WCB huyo.Wewe unafanya shughuli Gani tuanzie apo kwanza?
Liko wapi hilo jukwaa la masufuriaMod hii iende kwenye forum ya majungu, kama ipo
Wewe kumzawadia kalio kama boss wako alivyolitoa kama zawadi ya birthday party Kwa pdiddyNini kifanyike kumuokoa kijana niki mbishi baba yake na malcom. Kijana mwenzetu kakata ringi
Kijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri.