kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 325
- 172
Yani china akupe misaada alafu leo uje upige marufuku bidhaa zake? Naona humtakii mema jiwe...Sisi tuanze kupiga vita mitumba na bidhaa feki za bei rahisi toka China, kinyume na hapo tusahau viwanda na ajira
Kwanza kabisa kwa mwendo huu hamna tanzania ya viwanda itayofikiwa. Hilo moja mbili...Wadau napata tabu kuelewa katika nchi za africa tofauti na wenzetu ulaya eao walianza na kilimo . sisi huku afrika tunaanza na viwanda na barabara na reli.wadau toeni mawazo yenu.
Asante