Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 617
- 854
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie mhudumu akuongezee nyingine halaf alete bili huku.
Duuuuhukishamaliza tu... Unapewa dakika moja ya kupimzika kisha unaombwa utoe hela[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
ukishamaliza tu... Unapewa dakika moja ya kupimzika kisha unaombwa utoe hela[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapohapo ulipokaa mkuuWatoto tunakaa upande gani hapa
Au ukizubaa unakuja tayari Jinsi imeshaletwa utoe hela kwenye wallet.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
ukishamaliza tu... Unapewa dakika moja ya kupimzika kisha unaombwa utoe hela[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanza kujilaumu kwanini nimepiga kavuWakuu tukararibie tupeane mawazo!
Nimejiuliza sana huwa wengi wengi hufanya tendo la ndoa/ngono na wenza wetu lakn pale tunapomaliza huwa tunafanya nini na wenza watu??
Watu wa saikolojia ya mahusiano wanadai kuwa "MWANAMKE humpenda na kumnyenyekea zaid Mwanaume mwenye kumaliza tendo nae kumuweka karbu zaid baada tu ya tendo".
Pia wanasema "Muda mzuri kwa MWANAUME kumjua Mwanamke ameridhika naye na anampenda na kumthamini yeye na si mwanaume mwingine basi ni mara tu baada ya tendo lile" kitu ambacho asilimia kubwa ya wanaume hatuifanyi bali humaliza na kuweka mambo mengine kichwani.
Je huwa tunafanya nini mara tu baada ya kumaliza tendo??
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app