Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
KUKOSA hamu ya ngono ni tatizo ambalo wengi huona aibu kulizungumzia ingawa ni kitu kinachowanyima raha wanawake wengi.
Inakadiriwa kuwa asilimia 40 ya wanawake hupatwa na tatizo hili katika maisha yao, hata hivyo tatizo hili huwapata zaidi wanawake wenye umri kati ya miaka 45 na 65. Wataalamu wengi wa afya huwaambia wanawake wenye tatizo hili kuwa wana matatizo ya homoni. Kuwa na homoni za kutosha katika mwili ni muhimu kwa tendo la ndoa.
Homoni iitwayo istrojeni huhamasisha damu kwenda kwenye uke na kusaidia kulainisha uke wakati homoni iitwayotestosteroni huchochea hamu ya ngono.
Kwa habari zaidi, soma hapa=> Nini Hufanya Mwanamke Kukosa Hamu ya Ngono? | Fikra Pevu