Hicho kilichojificha Ndio Nini mkuu...labda Ndio Msingi wa hii mada!Mtu akishakufa ndiyo amekufa, hakuna kurudi.
DNA iko sahihi, labda walifanana au kuna issue nyingine imejificha.
Wachawi wanaweza yafuatay( baadhi ya matukio yaliyotolewa ushuhuda)
1.Kwenye chumba cha upasuaji akaingia na yeye mtoto aliyetolewa tumboni wanamchukua halafu mama anaachiwa mbadala.
2.Kwenye chumba cha upasuaji daktari wa upasuaji akili yake ikachezewa badala ya kupasua mguu akapasua kichwa, Vile visu na mikasi huwa mnasikia vimesahaulika kwenye tumbo la mgonjwa huwa siyo matukio ya kawaida.
3.Mtihani wa mwanafunzi kupotea, hivyo anafeli, huwa wanatumwa majini kuingia maofisini wanaiba au wanabafilisha.
4.Kuiba document fulani muhimu ambayo lazima itakwamisha jambo fulani kubwa la victim wao.
Je wakiamua kucheza na majibu ya DNA ili kuficha uhalisia wa tukio lao watashindwa?maana huwa hawataki kabisa kuumbuka.
NB: Kuna madaktari wachawi pia hufanya kazi kwa karibu sana na wachawi wenzao amb
Kwa mifano niliyoitoa sidhani kama snerio kama hiyo ingetokea!Wachawi wanaweza yafuatayo ( baadhi ya matukio yaliyotolewa ushuhuda)
1.Kwenye chumba cha upasuaji akaingia na yeye mtoto aliyetolewa tumboni wanamchukua halafu mama anaachiwa mbadala.
2.Kwenye chumba cha upasuaji daktari wa upasuaji akili yake ikachezewa badala ya kupasua mguu akapasua kichwa, Vile visu na mikasi huwa mnasikia vimesahaulika kwenye tumbo la mgonjwa huwa siyo matukio ya kawaida.
3.Mtihani wa mwanafunzi kupotea, hivyo anafeli, huwa wanatumwa majini kuingia maofisini wanaiba au wanabafilisha.
4.Kuiba document fulani muhimu ambayo lazima itakwamisha jambo fulani kubwa la victim wao.
Je wakiamua kucheza na majibu ya DNA ili kuficha uhalisia wa tukio lao watashindwa?maana huwa hawataki kabisa kuumbuka.
NB: Kuna madaktari wachawi pia hufanya kazi kwa karibu sana na wachawi wenzao ambao.
kivipi nafikiri sijakuelewa labda, kwamba kuna mahali wachawi hawawezi kuingia?Kwa mifano niliyoitoa sidhani kama snerio kama hiyo ingetokea!
Sijui,Kuna nguvu nyingi ktk Dunia yetu ..yote yawezekana!kivipi nafikiri sijakuelewa labda, kwamba kuna mahali wachawi hawawezi kuingia?
Habari!Naandika Kwa uzoefu wa mashauri mawili yaliyotokea katika Mikoa miwili Kwa nyakati tofauti.
Katika tukio la kwanza Kuna mtoto alifariki akazikwa .Baada ya miaka 2 mtoto huyo alionekana mbali na Mkoa aliofia akidhurura mitaani!
Baadaye ndugu wakajitokeza kudai kuwa huyo ni mtoto wao! Walionesha ushahidi wa kimaumbile,kudhirisha kuwa ni mtoto wao! Hata ndugu majirani, watoto wenzake walimtambua kuwa ndiye yule aliyefariki na kuzikwa!
Ili kujiridhisha Serikali iliamua kupima DNA .Matokeo ya vipimo hivyo yalikataa kuwa wazazi hao waliojitokeza hawana Uhusiano na mtoto aliyeokotwa!
Shauri la.pili linafanana na hili.kwanza ! Mtu alikufa ,akazikwa baada ya miaka kadhaa akaonekana akiwa hai hajitambui kidogo!
Watu wakamtambua ,wakaitwa ndugu zake wakathibitisha kuwa huyo ni mtoto/ndugu yao wakaainisha Kwa kufanana,alama zake mwilini na mambo kadhaa! Kwa kuwa huyu alikuwa ni mtu mzima hata jina lake aliweza kulitaja na sehemu alilokuwa anaishi!
Kama kawaida Ili kujiridhisha Serikali iliamua kupima DNA .Matokeo yakaonesha kuwa wazazi hao waliojitokeza hawana Uhusiano na msukule huyo!
Nawasilisha kwenu Wataalam mdadavue hii inatokeaje?!
Nimeandika Kwa kifupi na kupunguza maelezo Kwa sababu Maalum!
Kama huamini uwepo wa uchawi,misukuke nk hapa Si mahali pako!
Mwenye uelewa ataelewa ....umeongea sahihi mkuuWachawi wanaweza yafuatayo ( baadhi ya matukio yaliyotolewa ushuhuda)
1.Kwenye chumba cha upasuaji akaingia na yeye mtoto aliyetolewa tumboni wanamchukua halafu mama anaachiwa mbadala.
2.Kwenye chumba cha upasuaji daktari wa upasuaji akili yake ikachezewa badala ya kupasua mguu akapasua kichwa, Vile visu na mikasi huwa mnasikia vimesahaulika kwenye tumbo la mgonjwa huwa siyo matukio ya kawaida.
3.Mtihani wa mwanafunzi kupotea, hivyo anafeli, huwa wanatumwa majini kuingia maofisini wanaiba au wanabadilisha.
4.Kuiba document fulani muhimu ambayo lazima itakwamisha jambo fulani kubwa la victim wao.
Je wakiamua kucheza na majibu ya DNA ili kuficha uhalisia wa tukio lao watashindwa?maana huwa hawataki kabisa kuumbuka.
NB: Kuna madaktari wachawi pia hufanya kazi kwa karibu sana na wachawi wenzao.
Kwanza nikutoe zana potofu. Huyokea watu kufanana bila udugu wowote na ukiwaona utazani pacha. Niliwahi ona dada mmoja nimemuacha kijijini nilipofikia naenda kijiji cha mbele namkuta copy kabisa. Nikamsemesha akanikaushia badae narudi kujijini namuita namwambia tumeonana anashangaa. Baada ya wiki nikatengeneza mazingira nikaenda nae kule alipomuona akaenda kumuuliza mama ake kama alizaa pacha akamtypa mmoja au aliibiwa hospitali mama ake akafatilia mpaka ile familia akakuta yule dada ana wadogo zake wengine anafanana nao kuonesha ni wa pale hajaokotwa wala kuibwa. Walipiga mastori ya koo zao lakini hakutokea common ancestor. Kiufupi wale watu walifanana na kama ingetokea mmoja kafariki lazima badae wangesema kaonekana kijiji jirani.
Wakaibe na benki mchawi WA namna hiyo ndio na uhitaji achana na hawa wanywa uji wa chumvi asubuhiWachawi wanaweza yafuatayo ( baadhi ya matukio yaliyotolewa ushuhuda)
1.Kwenye chumba cha upasuaji akaingia na yeye mtoto aliyetolewa tumboni wanamchukua halafu mama anaachiwa mbadala.
2.Kwenye chumba cha upasuaji daktari wa upasuaji akili yake ikachezewa badala ya kupasua mguu akapasua kichwa, Vile visu na mikasi huwa mnasikia vimesahaulika kwenye tumbo la mgonjwa huwa siyo matukio ya kawaida.
3.Mtihani wa mwanafunzi kupotea, hivyo anafeli, huwa wanatumwa majini kuingia maofisini wanaiba au wanabadilisha.
4.Kuiba document fulani muhimu ambayo lazima itakwamisha jambo fulani kubwa la victim wao.
Je wakiamua kucheza na majibu ya DNA ili kuficha uhalisia wa tukio lao watashindwa?maana huwa hawataki kabisa kuumbuka.
NB: Kuna madaktari wachawi pia hufanya kazi kwa karibu sana na wachawi wenzao.
yaani mfano, aliyezikwa sio yeye mwenyewe halisi bali maiti ya mtu mwingine.Hicho kilichojificha Ndio Nini mkuu...labda Ndio Msingi wa hii mada!
Imani Ndio ibadilishe vinasaba!?DNA kamwe haiwezi kinzana na Death certificate ya Serikali iliyo kisayansi,
Na Kwa kuwa Serikali haiamini ,uchawi,au kufufuka baada ya kufa,
Lazima DNA iwe tofauti hata kama ni Kweli.
Ndio,Imani Ndio ibadilishe vinasaba!?
Kwamba mtu athibitishwe kafa, daktari aandike death certificate,Imani Ndio ibadilishe vinasaba!?