Doncho kun
Member
- Jan 11, 2019
- 11
- 11
Vip uonavyo wewe hawa watampunguzia maumivu aliyoyapata baada ya mzozo huu?Zelensky kaonyesha kiburi Cha kijinga sanakwa kuingia vitani akijua uwezo wakushinda Vita Hana Bali kuwategemea NATO na EU wangelikua upande wake.
Matokeo yake wamemtenga kabaki mkiwa.
Ndio kashapigwa Mande hapo.Vip uonavyo wewe hawa watampunguzia maumivu aliyoyapata baada ya mzozo huu?
Kabisa mkuu.Ukraine inaelekea kua Zimbabwe ya ulaya,
Huu mgogoro ungepata Raisi wa Ukraine asiye na mihemko na anayeamini na kuheshimu diplomasia na mazungumzo sidhan Kama wangefika uko.
kwani Putin nae anahitaji mazungumzo na mtu.Ukraine inaelekea kua Zimbabwe ya ulaya,
Huu mgogoro ungepata Raisi wa Ukraine asiye na mihemko na anayeamini na kuheshimu diplomasia na mazungumzo sidhan Kama wangefika uko.
Hatima yake ni uharibifu wa mali, tazama jinsi miji ya Kharkiv, Mariupol, Odessa na miji mingine ilivyogeuka magofu.Sasa ni siku zaidi ya 50 ya kinachoitwa operation ya kijeshi inayofanywa na shirikisho la Urusi ambapo upande unaoshambuliwa (Ukraine) umejaribu kila namna kuzuia mashambulizi makali ikiwa ni pamoja na kuomba mataifa ya Magharibi kuiwekea vikwazo Urusi, kuharibu zana za kivita za Urusi na kulipiga jeshi la Urusi kwa kuingia uwanja wa mapigano.
Hadi sasa zimerekodiwa hasara kubwa kwa pande zote mbili, ambapo nchi hizo zimepoteza wanajeshi, miundombinu ya kijeshi na kirai, vifaa vya kijeshi na raia (kwa upande wa Ukraine) ambao ni nguvu kazi ya taifa.
Swali ni je nini hatima ya taifa la Ukraine kiuchumi na kisiasa baada ya vita hii ambayo kwa kiwango kikubwa imewaacha katika maumivu makubwa?
Je, nini kitarajiwe kutuliza maumivu hayo kutoka nchi za magharibi ambazo zinaonekana zikiunga mkono Ukraine? Je, kujiunga kwa Ukraine kwenye umoja wa ulaya (EU) kutasaidiaje kupooza maumivu hayo?
Ukraine itasalim amri kwa lazima na itakua koloni la urusi na urusi itaijenga upya ukraine! Utapata rais atayeiunga mkono urusi!Sasa ni siku zaidi ya 50 ya kinachoitwa operation ya kijeshi inayofanywa na shirikisho la Urusi ambapo upande unaoshambuliwa (Ukraine) umejaribu kila namna kuzuia mashambulizi makali ikiwa ni pamoja na kuomba mataifa ya Magharibi kuiwekea vikwazo Urusi, kuharibu zana za kivita za Urusi na kulipiga jeshi la Urusi kwa kuingia uwanja wa mapigano.
Hadi sasa zimerekodiwa hasara kubwa kwa pande zote mbili, ambapo nchi hizo zimepoteza wanajeshi, miundombinu ya kijeshi na kirai, vifaa vya kijeshi na raia (kwa upande wa Ukraine) ambao ni nguvu kazi ya taifa.
Swali ni je nini hatima ya taifa la Ukraine kiuchumi na kisiasa baada ya vita hii ambayo kwa kiwango kikubwa imewaacha katika maumivu makubwa?
Je, nini kitarajiwe kutuliza maumivu hayo kutoka nchi za magharibi ambazo zinaonekana zikiunga mkono Ukraine? Je, kujiunga kwa Ukraine kwenye umoja wa ulaya (EU) kutasaidiaje kupooza maumivu hayo?
unaongea bila kujua kwanz huyo zele kwanza alipatikanaje? hjwez kuserve ila jins master wako anavokuamrisha. nahurumia tu wananchi wa kawaida ambao wamewekewa mtu aliyekuwa na kaz maalum nauyo mdio hio tumeona kaifanya. ppupet leaderZelensky kaonyesha kiburi Cha kijinga sanakwa kuingia vitani akijua uwezo wakushinda Vita Hana Bali kuwategemea NATO na EU wangelikua upande wake.
Matokeo yake wamemtenga kabaki mkiwa.
Mkuu namna gani unasema Zelenski aliingia vitani? Kwanza nasikia mara kwa mara hakuna vita ni special opereation tu. Pili si operesheni ya Zelenski ni ya Putin. Ila swali la hekima au ujinga liko kweli!Zelensky kaonyesha kiburi Cha kijinga sanakwa kuingia vitani akijua uwezo wakushinda Vita Hana Bali kuwategemea NATO na EU wangelikua upande wake.
Matokeo yake wamemtenga kabaki mkiwa.
Kabisa mkuu.
Simuungi mkono putin kwa alichofanya,ila ilikuwa ni bora zaidi ukraine awe na urafiki na urusi kwa sababu ndio jirani yake.
Zelensky amepoteza sana hata akisema leo hajiungi nato keshachelewa tayari.
Katika maisha ni bora ufala ambao utakuweka salama kuliko kiburi ambacho kitakuweka hatarini.
Ukraine itasalim amri kwa lazima na itakua koloni la urusi na urusi itaijenga upya ukraine! Utapata rais atayeiunga mkono urusi!
Ukraine itasalim amri kwa lazima na itakua koloni la urusi na urusi itaijenga upya ukraine! Utapata rais atayeiunga mkono urusi!