Nini hatma ya taasisi ya ustawi wa jamii na waliomaliza hapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini hatma ya taasisi ya ustawi wa jamii na waliomaliza hapo?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpaki, Aug 27, 2011.

 1. M

  Mpaki Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani naomba kuuliza. Chuo cha ustawi kimefutiwa usajiri kwamba kilikuwa hakina sifa ya kutoa shahada. Itakuwaje kwa walio pata shahada kabla ya kufutiwa usajiri huo. TCU tunaomba majibu
   
Loading...