agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Wakati nakua, ilikuwa inapotokea MTU kunitania mchumba wako Fulani au kuniita mchumba lilikuwa ni tusi kubwa sana naweza kulia siku nzima au kutafuta mbinu yoyote yakumfanya aliyenitania atambue sijapendezwa na utani wake,na hiyo sikuiona kwangu tu hata kwa baadhi ya watoto wenzangu kwa wakati huo.
Chakushangaza watoto wa Leo tena wadogo kabisa miaka miwili nk ukiwatania walaaa hawastuki zaidi ya kufurahi na kuuma vidole !.. Tena kuna kamoja kananiambia kabisaa ant mchumba wangu fulanaii .....ukikuta wamekaa kama watu wazimaa hivi wanajadili maisha yao ya badaae...!..
Hivi ni utandawazii ,malezi au nini?
natamani mwanangu nije kumlea kama nilivyolelewa Mimi ila kwa hali y dunia ilivyo napata shida watoto wetu watakuaje badae......