Nsam
JF-Expert Member
- Oct 25, 2018
- 212
- 290
Naomba kuuliza na kupata ufafanuzi, hivi mtoto katika hili suala la wizi wa mitihani anaingiaje. Je, mtoto anasaidikaje maana kosa lake silioni.
Mtoto kasoma zaidi ya miaka kumi leo unamfutia matokeo, je nini hatima yake
Na kipi kifanyike ili kuwasaidia watoto maana wazazi pia wametumia ada hawahusiki na hili.
Nisaidieni kama wanaweza kwenda secondary na kama wanaweza wanaendaje bila matokeo na kama wataenda private je prem wanatoa wapi