Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,905
- 150,212
Wanabodi wapenda michezo kuamkia siku ya leo majarida mengi ya michezo duniani kote yameandika ujio wa supercup kwa baadhi ya timu za ulaya.
Ujio huu wa supercup unakuwa tishio kwa ligi zingine ulaya hasa hii kubwa tuliyoizoea ya UEFA , na kwa kuzingatia mshindi na mgawo wa haya mashindano ni mpunga mrefu sana.
Kamati tendaji inakaa ndani ya masaa machache yajayo kutoa tamko.
Swali je PSG anaweza kupewa ubingwa wa mezani kwa kuwa timu zilizotinga nusu fainali nimeonesha nia chanya ya kushirili supercup ( European super league)? Hapa Chelsea , Madrid mancity nini hatima yake?
Karibuni.