Inawezekana kukawa na Viswahili vya lahaja nyingi, lakini Kiswahili original ni lahaja ya Unguja.
Na kadiri unavyotoka Unguja kwenda mbali zaidi ndivyo Kiswahili kinavyopotea ile ladha original.
Kwa hivyo Kiswahili cha Mrima hapa Kilwa, Dar, Tanga na Mombasa kiko karibu na cha Unguja.
Ukitoka hapo ndo unakwenda huko kwa Wangwana Congo hao wanabambiabambia tu Kiswahili hawakijui vizuri. Kenya ukiondoa Mombasa na pwani huku Lamu hata ngeli za Kiswahili kuzipanga hawajui.
Kiswahili standard = Unguja.
Mrima (Pwani ya Kilwa, Dar mpaka Mombasa)= Kiswahili kizuri.
Wengine wadandiaji tu.