Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
Habari wana JF.
Baada ya Kifo cha Mchungaji Mtikila, ambaye alikuwa ni kiongozi wa chama cha Democratic Party (DP), chama hiko kimepata pengo kubwa sana.
Mtikila alikuwa ndio kila kitu ndani ya chama hiko, maana sikuwahi kusikia hata Katibu Mkuu wa chama hiko ni nani, je nini hatima ya mwelekeo wa chama hiko baada ya kuondokewa na kiongozi huyo?
Kwamba na kanisa lake lina wanakwaya.

Mkuu mbona majibu yapo kwenye makolezo (bold)?Jibu ni dhahiri hakuna chama cha DiiPii tena!:glasses-nerdy:Habari wana JF.
Baada ya Kifo cha Mchungaji Mtikila, ambaye alikuwa ni kiongozi wa chama cha Democratic Party (DP), chama hiko kimepata pengo kubwa sana.
Mtikila alikuwa ndio kila kitu ndani ya chama hiko, maana sikuwahi kusikia hata Katibu Mkuu wa chama hiko ni nani, je nini hatima ya mwelekeo wa chama hiko baada ya kuondokewa na kiongozi huyo?
Kwani kanisa lake lipo wapi jamani
Huyu hapa nasikia anachukua mikoba stay turned
Maneno yako yanaishi. Chama pia kimekufaNdio chama kimekufa pia,chama kimeenda kuzimu pia maana aliekua anakiweka hai kafa na chama kimekufa.
Chama kilikua kinategemea kesi na mambo ya kipumbavu pumbavuu hivi kama kutukana watu na kukashifu watu kwamba ni wagonjwa,mwenye chama kafa yuko kuzimu na chama kimemfuata huko kuzimu.
DP na mwenye dp rest in hell..
Tangu 2015 ndio umekumbuka kujibu leo? Kwanini usiwaambie tu wanajukwaa mnachokipika hukoManeno yako yanaishi. Chama pia kimekufa
Sio kwamba kitafufuka Baada ya Katiba mpya siyo!!?Tangu 2015 ndio umekumbuka kujibu leo? Kwanini usiwaambie tu wanajukwaa mnachokipika huko