HAZINA YETU
Senior Member
- Mar 29, 2013
- 174
- 33
Karibuni kwa mjadala hasa gunners wenzangu ila kwa upande wangu source kuu ya matatizo ni kocha wetu Arsene wenger.
kuna sredi yenu na katimu kenu kasiko kwenye ramani ya UCL

Wapenzi wa mpira bwana. timu ikishinda mnamsifu kocha, ikifungwa mnamlaumu kocha. Sasa Wenger ana matatizo gani unayoyajua wewe kiundani?
Washabiki wanataka Wenger afukuzwe halafu Tony Adams apewe timu ili heshima ya Gunners irudi lol au sio HAZINA YETU