Nini furaha ya mwanamke katika ndoa?

Mwanamke anahitaji mwanaume ANAEMJALI

Usisahau na mwanaume anahitaji mwanamke ANAEMUAMINI ndio hasa saikolojia ya sisi viumbe ... Hapo kwenye kujali ndio kuna msingi wa yte mnayoyaorodhesha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…