Bwegemsela
Member
- Aug 30, 2019
- 59
- 90
- Thread starter
-
- #21
Hiyo statement yako nimeielewa vizuri sana kinachotakiwa ni kuwa na subra kwa kuweka misingi mizuri ya kuna kulimiliki hilo gari bila presha ya aiana yoyote ila hapo watoto wazuri watakuwa wamekupitaAdvice to young generation ukweli usafiri is no longer luxury it is necessity.
Muhimu angalia uwezo wako ukiona kipato chako kidogo na bado umepanga una familia unasomesha pengine una nyumba ndogo usichukue mkopo ajili ya gari kumbuka gari is another family...
Kwani gari inatengenezwa kwa matumizi gani? Sasas hizo ndio faida. Acha kutuuliza maswali ambayo yana majibu tayari.Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyigi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Aisee, mkuu nimekuelewa vizuri Sana kwa kauli hii.Vehicle is not for everyone.
kabisa kabisa, ndio urimbo wenyewe huoKukamata totoz Kali kama hizi View attachment 1449427
😂 😂 😂 😂 😂 😂 yaani nimecheka sana hapo mwishoniMaisha yamebadilika sana, kuna watu wanaishi kwa kuwaumiza wenzao. Watu kama hawa mikosi na mabalaa ikianza kuwaandana ndiyo wanajazana makanisani kutafuta unafuu. Ndiyo hapo sasa wachungaji wanapoponea na wao.
Huyu ana ukali gani mkuu ni rangi ama hizo fake appearance imekushikaKukamata totoz Kali kama hizi View attachment 1449427
Mkuu naona umenyakua Toto la Uhasibu Njiro-ChugaKukamata totoz Kali kama hizi View attachment 1449427
Ni sahihi boss lakini gari unaweza kuwa nalo ukakuta halina mafuta unadhan litakusaidiaNikiugua nyumba itaniwahisha hospitali? But gari fasta tuu nakimbizwa na siku nikikosa kodi naangusha kwenye ki IST changu and life goes on
Ukipanga chumba/ nyumba ni kati ya Tsh 30- 200,000 kwa mwezi lakini kukodi gari kwa mwezi si chini ya milioni..Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyigi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Maisha ni nyumba jenga nyumba kwanza ukishindwa sana anzisha biashara ukishindwa kabisaa nunua gari ya biashara sio ya kuendesha ww binafsi.Gari muhimu sana aisee,mimi mwenyewe naomba tu Mungu anisaidie niweze Kumiliki,hata km ikiwa ni kamkweche.
Sent using Jamii Forums mobile app