Mama Confidence
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 172
- 144
Kivipi ssa...dawa ni wewe mwenyewe
kuukubaki ukweli ,kusahau ya zamani na kuwaza yaliyopo na yambele.kuanza maisha mapya yaliyopita yamepita huwezi fanya loloteKivipi ssa...
HaiyaNichek inbox nikuelekeze pa kupata dawa...
Cashflow quandrants by Robert Kiyosaki!Hapo kuna vitu vinne BODY, MIND, EMORTION na SPIRIT sasa ili uwe vizuri lazima zote uzitumie. Mara nyingi tunatumiaga EMORTION sana katika maisha yetu. Kama tungeweza kutumia vitu vyote vinne basi tusingepata shida sana. sasa cha kufanya jaribu kutumia MIND, SPIRIT katika maisha nina mengi ya kusema lakini natumia simu ndogo ya button
acha uzushiNichek inbox nikuelekeze pa kupata dawa...
Nimecheka kwa nguvu khaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] miss natafuta buanaacha uzushi