JosRabit Member Joined May 30, 2013 Posts 12 Reaction score 0 Jul 15, 2013 #1 Nakubali katika mapenz kuna kudanganyana ... lakini sasa uongo mwingine una tishia aman ya penz... mfano mpenz wako ana penda sana kudanganya mahali alipo na kitu anacho fanya... sasa dawa yake ni nini?
Nakubali katika mapenz kuna kudanganyana ... lakini sasa uongo mwingine una tishia aman ya penz... mfano mpenz wako ana penda sana kudanganya mahali alipo na kitu anacho fanya... sasa dawa yake ni nini?
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Jul 15, 2013 #2 kumwacha...........