Nini dawa ya hangover/mning'inio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini dawa ya hangover/mning'inio?

Discussion in 'JF Doctor' started by mchapa shughuli, May 28, 2011.

 1. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 529
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 80
  Siku zote nimekua nikisumbuliwa na mning'inio siku ya 2 baada ya kutumia kilevi tafadhali anayejua tiba(sio kuacha utumiaji)anijuze..
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  dawa yake ni kuondoa lock
   
 3. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 529
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 80
  Sijakupata vema mkuu..
   
 4. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #4
  May 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kunywa pombe kwa polepole....mfano 1Beer uinywe zaidi ya dakika 40.yani uwe unaweka interval ya dakika 40 kwa kila beer unayokunywa.
  Pia chakula cha kushiba 30 minutes before beer.
  Unywe kwa kuburudani......sio pupa pupa kama unakimbizwa.
   
 5. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #5
  May 28, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kunywa maji wakati unakunywa bia husaidia sana.Hushauriwa kila baada ya bia unywe maji walau kiasi sawa na ujazo wa bia,ni zoezi gumu lakini jaribu kiasi ambacho utakachoona hakikupi shida(tumbo kujaa kupita kiasi). Unywaji bia wa taratibu pia husaidia kama alivyoshauri madau hapo juu.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  stay drunk! unapata hangover wakati pombe inaanza kuisha mwilini,actually unatengeneza sumu. sasa ukijiskia hangover,tundika pombe upyaa!
   
 7. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #7
  May 28, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ile ukiamka, asprin 2 shushia na biere
   
 8. h

  hodi Member

  #8
  May 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila unapokunywa beer nusu lita au chupa moja, unakojoa takribani chupa moja na robo hadi na nusu,hivyo unapunguza maji mwilini. Hii inakufanya uamke asubuhi na mning'inio. TIBA yake ni kunywa MAJI lita moja kila baada ya kupata KILAJI (pombe), asubuhi utaamka bila kukutana na MNING'INIO
   
 9. h

  hodi Member

  #9
  May 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kila unapokunywa beer chupa 1 unakojoa takribani chupa 1.25 hadi 1.5,hivyo unapunguza MAJI mwilini. TIBA yake ni kunywa maji lita moja kila baada ya kupata kilaji(pombe), na asubuhi utaamka bila MNING'INIO
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kula matikiti maji
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Dawa ya "hangover" ambayo ni bora kuliko zote. Ni kuacha kulewa.
   
 12. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  piga msosi kabla ujaenda kualala na ukiamka meza dawa za kupunguza maumivu.
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Dawa yake ni kunywa panadol au asprin then juice au maji
   
 14. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  dawa yake unaweza kushtua na mbili tena au ukanywa supu yenye pilipili nyingi na maji baridi au kula matikiti maji au oga na maji barid sana zote hizo ni dawa na nzuri kuliko zote ni kunywa kwa wastan usilewe sawa kijana
   
 15. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kunywa maji mengi ukishaamka tu kabla ya kupiga mswaki, kunywa kama lita moja, baada ya hapo kama unaweza fanya mazoezi utoke jasho kwa mda wa nusu saa hivi, hapo ukirudi ukioga utafikiri pombe ulikunywa wiki iliyopita.
   
 16. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 529
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 80
  Mtaalam mmoja kanieleza sababu zote zilizotanjwa humu zinafanya kazi kama ukinywa bwaksi la kiasi vinginevyo dawa ni KULALA tena baada ya kuamka japo kwa masaa 3,hakuna fomula kamili ni USINGIZI tu
   
 17. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  haya kijana endelea kulala kama kesho hukushndwa kwenda ofisin ukaamka na malaria au homa usiyo ielewa nini chanzo haya bana wewe lala tuu kumbe ndo unajifunza pombe kwa kupitia pombe za bure shaur yako kijana
   
 18. oba

  oba JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Dawa nyingine zote uloambiwa hazina 100% protection kama kuacha kabisa kilevi, mbona kuna watu hawatumii na wako health?
   
Loading...