prezdesho
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 150
- 79
Katika sekta ya elimu kwa kipindi kirefu sasa kumekumbwa na changamoto mbalimbali husani ,sera na uendeshaji........
Lakini mbali na siasa ambazo zimetawala elimu yetu lipojambo kubwa kabisa la mfumo mzima wa elimu ambalo linazalisha madudu yote haya tuliyonayo......
SIASA KATIKA ELIMU
Kumekuwa na kasumba kubwa kwa viongozi wa kisiasa kutetea ama kuongoza idara ya elimu kwa malengo ya kutafuta kiki ya siasa ama malengo ya chama chake.......
Hakuna ushirikishwaji wa wataalamu(waalimu) na wakati mwengine wakishirikishwa inakuwa kama ushahidi.....
DIRA YA ELIMU
Bado Tanzania hatuna dira ya elimu(muongozo) ambayo hiyo itamfanya kila anayekuja aifuate asianze upya....
Tatizo lililopo sasa ni kuwa kila waziri anayekuja anakuja na taratibu zake mpya na kuleta mkanganyiko na mtikisiko katika elimu....
MFUMO WA ELIMU
Tatizo lingine ni hili ambalo ndilo linagusakila kitu katika elimu baadhi yake ni:
1~Haingii akilini mwalimu mmoja afundishe masomo kumi vipindi 42 kwa wiki halafu utegemee ufanisi wa elimu...
2~Haingii akilini baadhi ya watendaji wa elimu hawajawahi kuwa walimu lakani ndiyo wanao ongoza nakusimamia elimu....
3~Haingii akilini mwalimu hana hata posho yoyote halafu unamtaka ajitolee...
4~Haingii akilini ajira za walimu zimekuwa za kusuasua kiasi kwamba inafikia mwaka na zaidi hawaja ajiriwa....
Yapo mengi ila tunahitaji mabadiliko makubwa na hili ndilo jipu....