Ishomile Wawili
Member
- Sep 17, 2019
- 85
- 231
Maswali kadhaa kwa Wajuzi wa Mambo,
Kwanini Westerners wakaitwa na waanzilishi wa kuwaita hivyo "Mabeberu" na si "Majogoo" ,"Madume ya Ng'ombe", " Magegedu" n.k.
Kuna tabia gani za kushabihiana kati ya Nchi za Magharibi na tabia za mbuzi dume "Mabeberu" ???
Nani hasa Ni muanzilishi/waanzilishi wa Neno hili "Mabeberu" ???
Je China baada ya Mauzauza ya kinyonyaji kama yaliyofanyika nchini Zambia, "Debt Trap" ,Bandari ya Bagamoyo n.k naye pia Ni mmoja wa Mabeberu au ana exception kwakuwa na rafiki wa kihistoria wa Bara la Afrika.
....