No jkt ya sasa imewekwa kuwa ndiyo chombo cha kupitia kabla ya kuingia kwenye vyombo vya ulinzi,ambavyo ni jwtz,polisi,magereza,usalama wa taifa,TANAPA na makampuni mengine ya ulinzi.kwa maana hiyo huwez kuingia jwtz bila kupitia jkt.so ukiwa jkt kikubwa kinachotakiwa ni NIDHAMU.hilo ndiyo litakalo kufanya uchaguliwe kuingia jwtz baada ya kupitia jkt kwa miaka miwili ya kujenga nchi.so kama ukiingia jkt na ukawa na NIDHAMU huwez kukosa ajira kati ya hizo nilizo taja. Na kama ukikosa utakuwa na matatizo binafsi kama ya kiafya.so wasikukatishe tamaa.