Wakuu habari jaman, hii ni new combination ya bidhaa hii kama unataka kitambi mwli mkubwa na we uwonekane kama mambo yako ni saaaafi kabisa basi piga hii kitu banana au kwa jina lingine akanana au ndizi kitu cha arusha hichi bei yake sio ya kutisha saaaaaana ni 600 tu ukilialia sana ata jero unapata na pia ukichanganya na yale mambo yetu kitu noah yani kitimoto uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii full batraaa mwanawane