Ningependa tanzania ya hivi!

Ningependa tanzania ya hivi!

Nenetwa

Member
Joined
Jan 16, 2011
Posts
14
Reaction score
0
NINGEPENDA TANZANIA YA HIVI: Elimu bora, makazi bora, miundombinu bora, huduma bora za afya, fursa nyingi za ajira za kuajiriwa na kujiajiri, viongozi waadilifu, Uzalishaji viwandani na kuuza nje kwa wingi. Wastani wa miaka mingi ya kuishi (High life expectancy). Je wewe Ndugu yangu Mzalendo Mtanzania unapenda Tanzania ya namna gani? Changia mawazo.
 
Wazo zuri lakini ni ugumu wetu wa kuelewa tulipokuwa tukiambiwa kuwa hawa jamaa wa chama cha kijani hawana nia ya dhati kumkomboa mtanzania na kuleta hiyo ya kufikirika, tulidhani ni uongo!!! Lakini tatizo kubwa zaidi ni sisi wenyewe. Nina uhakika kabisa kama hawa jamaa wasingekuta kura hata moja lwenye yale masanduku ya kura mwaka jana hata uchakachuzi ungeshindikana..... Lakini kwa kuwa baadhi yetu tulijifanya tunajua zaidi, basi kuna miaka mitano mingine ya maisha magumu sana, hii ya gesi na umeme ni hatua ya mwanzo tu, tutafunga mikanda mpaka viuno vikatike..... Na tusipokuwa na maamuzi ya busara 2015.......... :Cry: :Cry:
 
Back
Top Bottom