Ningependa kujua Yu wap Dkt. Wilbroad Slaa

Ningependa kujua Yu wap Dkt. Wilbroad Slaa

Octoba sitiki

Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
20
Reaction score
30
Habari ya jion wanajanvi.

Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
 
Yupo huwa huangali video za mahakamani za muhaini wanaemwita
 
Back
Top Bottom