Ningependa kufahamu wanatoa maswali gani katika kada ya accounts na format ya pepar za utumishi zinavyotokaa katika upande huo..

Mr njaa

Senior Member
Feb 3, 2022
166
122
Habar wakuu katika mapambano ya ajira ningependa kufahamu wanatoa maswali gani katika kada ya accounts na format ya pepar za utumishi zinavyotokaa katika upande huo..
Natanguliza shukran naomba maswali yoyote uliowah kukutana nayo utumishi....
 
Soma sna kaka yaani kwa kifupi jirudishe class.. Jipange kweli mitihani ya utumishi ni UE
 
Back
Top Bottom