Charliemic
JF-Expert Member
- Feb 17, 2019
- 604
- 979
kwani unateseka??Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.
Nisingewakubali hawa wanaume ambao wanatoka na mijimama eti wanalelewa, hawataki kufanya kazi wanaendekeza kulelewa.
Nisingewakubali wanaume wanaotegemea kipande cha Mihogo mibichi, na kipande cha nazi la sivyo hawafui dafu kwenye 6*6.
Wanaume wanaoishi Kwa chips mayai daily.
Wasiotaka kujifunza kwa wazee ambao wanachukua vibinti vibichi na kuvigegeda saana tu.
Ningechukua muda kuwaelimisha wafanye kazi waache kujilegeza, watafute fedha na kuacha kufikiria kulelewa
HahahahaNingekuwa mwanamke nisingekubali wanaume wasiotufikisha kileleni mxeeew mpaka tumehamia kwenye vibomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa mwanamke nisingekubali wanaume wasiotufikisha kileleni mxeeew mpaka tumehamia kwenye vibomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora ageuke awe mwanamke tu watu tujiseviendugu kwa uliyo yaandika haki wewe ni shoga unajua utamu wa muwa ndo maana unatamani kabisa ungekua mwanamke,,
wanaume tunapungua kwa ari nguvu na kasi mpya.
Mkuu ukisema hivyo unamzalilisha bwana yuleNingekuwa mwanamke nisingekubali wanaume wasiotufikisha kileleni mxeeew mpaka tumehamia kwenye vibomba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sichangii maana anaweza kuomba na plastic surgery halafu akarudi tena akasema anataka kubadilisha nanihii na gharama zake sasaCharliemic hujachelewa kuwa mwanamke, kama upo tayari sema wana JF tupitishe mchango wa kukununulia dera, kisanduku cha make-up, wigi, sidiria, bra na kikuku.
Hizi ni dalili mbaya sana kwa mwanaume kuanza kutaman kuwa Kama mwanamke.Ningekuwa mwanamke nisingekubali kuolewa na hawa wanaume wanaovalia suruali zilizowabana vilivyo huku zikiwa chini ya makalio. wanatembea wakiwa wametanua miguu.