Ningekuwa mwana-CCM hakika leo leo ningehama chama

umenikumbusha kisa cha binti wa kimasai, siku moja mzungu alikuwa anahubiri umasaini binti akapanda juu ya mti amwone mzungu, mzungu akahamaki akamwambia binti shuka utukufu wa bwana u juu yako, baada ya mkutano binti akapewa magauni mawili na nguo ya ndani, kesho yake mamake akajiwahi mapemaa, mzungu kufika akahamaki mama shuka mzungu akauambia umati yatupasa kuwatunza wake zetu.
 
Bado unastock kubwa ya viroba??
 
Hiyo ndio akili yake hamna kitakachoibadilisha, anajaribu ku cover his puuu yet tumeshaiona
Iweje aseme akamatwa alafu tena aseme aachiwe na aanze kumsifia
Infact Ney should be very careful na Makomeo
 
Kapumzike tu mkuu, maana naona umekuwa ukifululiza kupost pumba tu! Kama umekosa la kuandika changia hata mada za wenzako.
 
NDIO UMEANDIKA NINI WE WE ULIYEKUWA UNAFUKUZIA UAFISA HABARI WA CHAMA KILE? PUMBA TUPU MPAKA INAKERA SANA!
 
hiyo avatar yako lazima unune...serikali iliyopita angalau ulifika ikulu na kupiga selfie...awamu hii hamna kuitwa.......
 
 
Usiandike tuu ili uwe umeandikaa lazma ujitathimini je unaweza kulifanya ilo jambo??? Cyo tuu unakosa au kusema wenzioo ilhali ww mwenyewe huna tofauti naoo nikukumbushe tuu
Mwaka 2015,lowasa alijiunga na chadema akitokea ccm aikupita wiki mwenyekit wenu bwana mbowe akashiniza apitishwe kuwa mgombeaa urais ila aukuhawa chama wala ukukosoa kuonesha ukubaliani na hicho kitendo badala yake uligeuka mnafiki wa democrasia ndani ya chama chenu...........leo kwa ccm unaona ungeza kuhama chama acha weweee
Wise man awagi hivyo joh
 

Ebwana eeh! Kumbe ndio maana kule UVCCM kuna vijana wengi wenye ile tabia inayo mkera Kigwangwala? Na wengi wakipewa mapumziko badala ya kwenda kwao Mwanakwerekwe wanaenda mapumzikoni Mombasa? Kuna ni huko Mombasa?
Nasikia siku hizi kuna msemo eti huna malinda wenye! Eti mkuu maana yake nini wakiwa wanaambiwa hivyo?
 
Rejea article ya Mzee VUTA NKUVUTE leo, "POLEPOLE NAKUPONGEZA, POLEPOLE NAKULAUMU".
 
CCM ni chama tawala. CCM ni chama dola
Inapendeza sana kwamba umekuwa wa kwanza kujibu waraka huu, maana ulikulenga wewe haswa! inapendeza zaidi kwamba hata huelewi unachojibu!!!! wewe ni Bashite pia????
 
Mshukuru mungu sio, pilipili usizozila zakuwashia nini??
Kwa mfano ungehama uende chama gani??
 
Baki huko huko uliko hata sisi hatukutaki kwenye chama chetu.
 
Hapa kweli wamechemka hata mimi wameniudhi ! Maana mwingine akija na muziki wa kutukana viongozi asiguswe ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…